ni kampuni ambayo inaanza na kazi zake mbalimbali zimeshaonekana mitaani na wadau wa tasnia hii wameanza kuipromote katika blog na website zao.
ni kampuni pekee tunayoweza kujivunia hapa mkoani KILIMANJARO
mawasiliano yao simu +255 765 671522
Emaill mauzoartstz@gmail.com
facebook mauzo arts
No comments:
Post a Comment